6/recent/ticker-posts

Wanafunzi Wengi Wajitokeza Katika Maonesho ya Udahili wa Wanafunzi Kujiunga Vyuo Vikuu Zanzibar


MKUU wa Idara ya Teknolojia wa Chuo Kikuu cha Taifa Zanzibar (SUZA) Dr. Abubakari Diwani , akimfanyia udalihi mwanafunzi, wakati wa maonesho ya Udahili wa Wanafunzi Wapya wanaotaka kujiunda na Chuo Kikuu SUZA maonesho hayo yamefanyika katika viwanja vya Mapinduzi Square michezani Zanzibar





Post a Comment

0 Comments