Wafanyakazi wa Kampuni ya Kichina ya STECOL inayosimamia Mradi wa usambazaji
maji safi na salama katika maeneo ya mbalimbali ya Mji wa Zanzibar
wakisambaza mabomba hayo katika mitaa ya Miembeni Unguja, wakiwa katika eneo la Miembeni jitini wakitandaza mpira wa kusambazia maji katika mitaa hiyo kama walivyokutwa na mpiga picha wetu wakati akiwa katika mitaa mbalimbali ya Zenj.
BoT YASHIRIKISHA WADAU MPANGO WA KUANZISHA KAMPUNI YA UDHAMINI WA MIKOPO
-
Benki Kuu ya Tanzania (BoT), ikiongozwa na Naibu Gavana wa Sera za Uchumi
na Fedha, Dkt. Yamungu Kayandabila, imefanya kikao na wadau mbalimbali
kujadilian...
1 hour ago
0 Comments