6/recent/ticker-posts

Uimarishaji wa Alama za Barabarani Zebra Cross Zenj.

Wafanyakazi wa Baraza la Manispaa ya Zanzibar wakiwa katika zoezi la kupaka rangi alama za kuvukia watembea kwa miguu katika eneo la Mkunazini Unguja alama hizo zimekuwa zimefutika na kutoonesha kwa watumiaji wa barabara hiyo hasa magari  

Post a Comment

0 Comments