Nashabiki na Wapenzi wa Mchezo wa Soka Wilayani Ruangwa Mkoani Mtwara wakiwa katika foleni kuingia Uwanja kushuhudia Ufunguzi wa Uwanja huo kushuhudia mchezo wa Kirafiki Kati ya Simba Sc ya Jijini Dar es Salaam na Timu ya Namungo FC,Kwa Ajili ya Mchezo wa Ufunguzi wa Uwanja wa Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Habari : Serikali yasisitiza Usalama ,Mapato Mpakani Mutukula
-
Na Mwandishi Wetu,KAGERA
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,George Simbachawene amehimiza ushirikiano
kati ya watumishi wa serikali waliopo katika Kituo ch...
2 hours ago
0 Comments