Mwakilishi wa Jimbo la Makunduzi Zanzibar Mkoa wa Kusini Unguja pia Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba Sheria Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Haroun Ali Suleiman akiwa na mgeni wake Waziri wa Nchi Ofisi yua Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Tanzania Mhe. January Yussuf Makamba wakielekea katika Msikiti kwa ajili ya kusoma hitma na kuwaombea Dua Wazee wa Kizimkazi waliokwisha kufika mbele ya haki.
STAMICO YAGUSA MIOYO YA WATOTO YATIMA, YATOA MSAADA KUELEKEA SIKUKUU YA IDD
-
Katika kuendeleza dhamira ya uwajibikaji kwa jamii, Shirika la Madini la
Taifa (STAMICO) limetembelea Kituo cha Watoto Yatima cha Umra Orphanage
jijini Dar...
11 minutes ago
0 Comments