Wanafunzi wa Skuli ya Sekondari ya Haile Sallesie wakishangilia Ubingwa wao baada ya kuifunga Skuli ya Sekondari ya Nyuki katika mchezo wa Fainali uliofanyika katika viwanja vya maisara Zanzibar imeibuka kwa ushindi wa Vikapu 37 - 23.. Wanawakilisha Mkoa wa Mjini Magharibi katika Tamasha la Elimu Bila Malipo katika Michguano ya Taifa inayotarajiwa kufanyika wiki ijayo kuzikutanisha Skuli za Sekondari za Mikoa Mitano ya Zanzibar.
JK AENDELEA KUWA KINARA WA ELIMU DUNIANI
-
Rais Mstaafu Jakaya Dkt. Mrisho Kikwete, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Bodi
ya Taasisi ya Kimataifa inayoshughulikia Masuala ya Elimu Duniani (Global
Partner...
1 hour ago
0 Comments