Uongizi wa Benki ya Watu wa Zanzibar unatoa pole kwa ndugu, jamaa, marafiki na Watanzania wote kwa ajali mbaya ya MV Nyerere iliyotokea tarehe 20.09.2018
Mwenyezi mungu azilaze roho za marehemu mahala pema peponi. Amin
Tunawaombea majeruhi wote wapone haraka.
Benki ya Stanbic yatoa zawadi za msimu wa sikukuu kupitia Kampeni ya Masta
wa Miamala
-
Benki ya Stanbic Tanzania imetoa zawadi za msimu wa sikukuu kupitia kampeni
inayoendelea ya Masta wa Miamala.
Akizungumza kwenye hafla hiyo iliyoambatana ...
8 hours ago


0 Comments