Waziri wa Elimu na Mafunzo ya amali Zanzibar, Riziki Pembe Juma, akizungumza na Walimu wa Wilaya ya Micheweni , huko katika mkutano uliofanyika katika ukumbi wa mitihani wa Chuo cha Kiislamu Kiuyu Pemba.
-
*WAZIRI KOMBO AKUTANA NA BALOZI WA JAMHURI YA ZIMBABWE, HELEN BAWANGE
DINGANI*
*Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi
M...
0 Comments