Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa akiwa katika ziara yake Mkoa wa Kagera akisalimiana na watoto wa Shule ya Awali na Msingi ya Rweikiza wakati alipotembelea Shule hiyo akiwa katika ziara ya Bukoba Vijijini mkoani Kagera, Oktoba 9, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
MEYA KIBAHA KUTOA ZAIDI YA MILION 18 KUCHIMBA VISIMA VINNE KUPUNGUZA KERO
YA MAJI PANGANI
-
Na Mwamvua Mwinyi, Kibaha Disemba 22, 2025
Baadhi ya wananchi wa Mtaa wa Kidimu, Kata ya Pangani, Halmashauri ya
Manispaa ya Kibaha wanakabiliwa na uhaba...
3 hours ago
0 Comments