Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza katika Kikao cha Kazi alichokiitisha cha kujadili namna ya kuondoa kero zinazowapata wawekezaji kuhusu upatikanaji wa vibali vya Kazi na Uhamiaji. Kikao hicho kilichofanyika ofisini kwa Waziri Mkuu, Magogoni jijini Dar es salaam, Desemba 19, 2018, kiliwahusisha Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Ajira na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama (wapili kulia), Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Hamadi Masauni (watatu kushoto) , Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana na Ajira, Anthony Mavunde (watatu kulia), Kamishina wa Uhamiaji, Dkt. Anna Peter Makakala (wapili kushoto) na Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) Geofrey Mwambe. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Arusha Yageuza Bodaboda Kuwa Fursa Mpya
-
Na Pamela Mollel,Arusha.
Jiji la Arusha limeanza ukurasa mpya katika sekta ya bodaboda baada ya Mkuu
wa Wilaya ya Arusha, Joseph Modest Mkude, kuzindua m...
3 hours ago
0 Comments