Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimsikiliza Mtendaji Mkuu wa TANROADS Mhandisi Patrick Mfugale akitoa maelezo ya mradi wakati wa hafla ya uwekaji jiwe la Msingi la Ujenzi wa Upanuzi wa barabara ya Morogoro Kuanzia Kimara hadi Kibaha yenye Urefu wa Kilometa 19.2 .Hafla iliyofanyika Kimara Jijini Dar es Salaam.Desemba 19,2018.
SWADAKA NI NGAO NA KINGA YA MADHAMBI KWA MWENYE KUITOA KWA AJILI YA ALLAH –
MISANGA
-
Taasisi ya Ramadhan Charity Programme 2026 imewataka Watanzania kutumia
mwezi mtukufu wa Ramadhani kuwa wamoja, kusaidiana na kufanya kazi kwa
pamoja ka...
7 hours ago






0 Comments