Kikundi cha Taifa cha Taraab Zanzibar kikitoa burudani wakati wa Maadhimisho ya Miaka 50 ya Shirika la Biashara la Taifa Zanzibar ZSTC, Maadhimisho hayo yamefanyika katika Viwanja vya Hoteli Verde Mtoni Zanzibar jana usiku.
TANZANIA YATUMIA MICHUANO YA AFCON 2025 KUUZA MAZAO YA UTALII
-
Na mwandishi wetu, Morocco
NAIBU Waziri wa Maliasili na Utalii, Hamad Hassan Chande (Mb), amesema
Tanzania inatumia fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (...
15 hours ago
0 Comments