IPO haja kwa wazazi kuwa makini wakati wa kuwachukuwa watoto wao muda wa kutoka Skuli, pichani mmoja ya mwananchi wa Wilaya ya Wete akiwa amewapakia watoto watano pahali pamoja wakiwa wanatoka skuli, kama alivyokutwa na mpiga picha wetu. (PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
TAIFA GAS YAKATAA KUPANDISHA BEI YA GESI LICHA YA ONGEZEKO LA SOKO LA DUNIA.
-
KAMPUNI ya Taifa Gas imetangaza kuwa haitapandisha bei ya gesi ya majumbani
(LPG) licha ya kupanda kwa bei ya bidhaa hiyo kwa takribani asilimia 43
katika ...
2 hours ago
0 Comments