WASAMARIA wema na madereva wa gari mbali mbali, wanaopeleka wananchi katika ufukwe wa Vumawimbi ulioko Makangale Wilaya ya Micheweni Mkoa wa Kaskazini Pemba, wakisaidia kusukuma gari iliyokwama kufuatia fukwe hiyo kuwa na uchafu mwingi katika kipindi hiki cha Upepo wa Kaskazi.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
TAEC YASISITIZA UTAMADUNI WA USALAMA KAZINI
-
Wataalamu kutoka Tume ya Nguvu za Atomiki Tanzania (TAEC) wamehitimisha
mafunzo maalum ya ulinzi na usalama dhidi ya mionzi kwa wafanyakazi wa
Maweni Lim...
44 minutes ago
0 Comments