MAFUNDI wa shirika la umeme Zanzibar Tawi la Pemba, (ZECO), wakikaza baadhi ya misumari mara baada ya kuwekwa kwa Tansfoma mpya katika eneo la TTCL Michakaeni kama walivyokutwa na kamera ya Zanzibarleo.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
JAI yapanga kulisha wagonjwa zaidi ya 1,800 Eid El-Fitr, yaomba msaada wa
Sh. Milioni 22
-
Taasisi ya Jumuiya ya Tabia za Kiislam (JAI ) imepanga kuwalisha wagonjwa
zaidi ya 1,800 katika hospitali mbalimbali wakati wa sikukuu ya Eid
al‑Fitr, ikiw...
1 hour ago
0 Comments