6/recent/ticker-posts

Msimu wa Matunda ya Embe Kisiwani Pemba

Katika pitapita yangu katika maeneo ya Kisiwa cha Pemba nimeweza kujionea jinsi ya muembe ulivyonawiri na kuzaa embe nyingi tafauti na miembe mingine jinsi ulivyoshehena embe hizi kama inavyoonekana pichani.


Post a Comment

0 Comments