6/recent/ticker-posts

Mradi wa Mataa ya Kuongozea Gari Katika Makutano ya Chake chake na Tibirinzi Yaaza Kazi .

Mradi wa Taa za Barabarani katika eneo la makutano ya barabara ya Chakechake na kwenda Tibirinzi yakitowa huduma hiyo ya kuongezea magari ikiaza kazi kama inavyoonekana pichani yakiwa katika eneo hiyo. 

Post a Comment

0 Comments