Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Mstahiki Meya wa Zanzibar Mhe Khatib Abdulraham alipowasili katika viwanja vya Maisara Suleiman kuhudhuria Ibada ya Sala ya Eid Fitry iliofanyika Kitaifa katika viwanja hivyo leo 5-6-2019.kulia Katibu Mtendaji wa Wakfu na Mali ya Amani Zanzibar Sheikh Abdalla Talib
Watumishi wapya wa Ofisi ya Msajili wa Hazina wapigwa msasa
-
Na Mwandishi wa OMH
Kibaha, Pwani. Ofisi ya Msajili wa Hazina (OMH), kwa kushirikiana na Chuo
cha Utumishi wa Umma Tanzania (TPSC), imeendesha mafunzo ya s...
31 minutes ago
0 Comments