Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya ZYBA lililoandaa Bonaza hilo Ndg, Azizi Salum akizungumza wakati wa hafla hiyo ya Mchezo wa Bonaza la Nyota wa mchezo wa Basket Ball kutoka Vilabu vya Tanzania Bara na wa Vilabu vya Zanzibar lililofanyika katika Uwanja wa Mao Zendugs Zanzibar Timu ya Nyota wa Tanzania Bara wameshinda kwa Vikapu 66 -38.
TANZANIA YAUNGA MKONO UENDELEVU WA BONDE LA NILE
-
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imethibitisha kuendelea
kulisaidia Bonde la Mto Nile, ikisisitiza kuwa Tanzania inatambua thamani
kubwa ya ra...
1 hour ago
0 Comments