Mwakilishi wa Jimbo la Mwera Zanzibar Mhe. Mihayo N'hunga,akiabidha Matofali 1000,kwa Kikundi cha Atubaguani Mwera kumalizia ujenzi na kumalizia Jengo lao kuweza kufanya shughuli zao bila ya buhudha, hafla hiyo imefanyika katika jengo hilo.
Kitaifa : Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba akutana na waziri Mkuu Mstaafu
Kassim Majaliwa
-
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba amekutana na Waziri Mkuu Mstaafu Kassim
Majaliwa nyumbani kwake Nandagala, Ruangwa mkoani Lindi.
Mheshimiwa Dkt. Mwigu...
8 hours ago




0 Comments