RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Mkuu wa Chuo Kikuu
cha Taifa Zanzibar (SUZA) Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akionesha Cheti cha
Utambuzi na Uthibati, baada ya kukabidhiwa na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya
Amali Zanzibar Mhe. Riziki Pembe Juma kushoto kwa Rais, anayefuata ni
Mwenyekiti wa Baraza la Chuo Kikuu cha Taifa Mhe.Said Bakari Jecha na Jaji Mkuu
wa Zanzibar Mhe. Omar Othman Makungu na kulia kwa Rais Makamu Mkuu wa SUZA Dk.
Zakia Mohammed Abubakar, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Dk. Ali Mohamed
Shein, Tunguu SUZA Wilaya ya Kati Unguja
TBS YAPATA TUZO YA MDHIBITI BORA 2025 KATIKA TUZO ZA UBUNIFU UTUMISHI WA
UMMA
-
DAR ES SALAAM – Shirika la Viwango Tanzania (TBS) limetangazwa kuwa
Mdhibiti Bora wa Mwaka katika Tuzo za Ubunifu katika Utumishi wa Umma
(PSIA) 2025, kwa ...
13 minutes ago
0 Comments