Kampuni ya Simu ya Zatel ikiendelea na Zoezi la kusajili laini za simu kwa Wateja wao kwa njia za alama ya kidole, kama alivyokutwa Mwananchi huo akiwa katika zoezi hilo kwa wakala wa Zantel katika mitaa ya chakechake Pemba akijisajili.
Rais Dkt. Samia Afuturisha Viongozi pamoja na Makundi mbalimbali,
Chakechake Mkoa wa Kusini Pemba
-
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu
Hassan akijumuika na Wananchi wa Chakechake, Mkoa wa Kusini Pemba kwenye
Futari aliy...
4 hours ago

0 Comments