6/recent/ticker-posts

Mchezo wa Ligi Kuu ya Zanzibar Kati ya Jangombe Boys na Polisi Mchezo Uliofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar Timu ya Polisi Imeshinda Bao.2-1.

Mshambulizi wa Timu ya Jangombe Boys akiwapita mabeki wa Timu ya Polisi wakati wa mchezo wa ligi kuu ya Zanzibar uliofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar.Timu ya Polisi imeshinda mchezo huo kwa bao 2-1.






Post a Comment

0 Comments