6/recent/ticker-posts

Mchezo wa Bao na Karata Bonaza la Wazee Kuadhimisha Siku ya Wazee Duniani Viwanja Vya Mao Zedong leo.

Naibu Waziri wa Kazi Uwezeshaji Wazee Wanawake na Watoto Zanzibar.Mhe. Shadya Mohammed akimkabidhi Bao la Keti mmoja wa Viongozi wa Mchezo huo wakati wa Bonaza la Wazee la Kuadhimisha Siku ya Wazee lililofanyika Uwanja wa Mao Zedong leo.





Post a Comment

0 Comments