Mchezaji wa Timu ya Stone Town akijaribu kuwapita wachezaji wa Timu ya Beitras wakati wa mchezo wa Kombe la Karume Cupuliofanyika Uwanja wa Mao Zedong Zanzibar.
Michezo : New King Imeichapa Malindi Bao 2-1
-
Mchezaji wa Timu ya Malindi akimiliki mpira akijiandaa kumpita beki wa Timu
ya New King, katika mchezo wa Ligi Kuu ya PBZ Zanzibar 2-25 /2026 mchezo
uliyo...
0 Comments