Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Alhajj Ali Mohamed Shein akisalimiana na Mshauri wa Jumuiya ya Milade Nabii Sheikh.Shirali Champsi alipoiwasili katika viwanja vya Maisara Suleima Wilaya ya Mhjini Unguja kuhudhuria hafla ya sherehe za Maulid ya Kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (S.A.W) yaliofanyika jana usiku.
Watu 600 kushiriki semina ya AAT Moro
-
Na MWANDISHI WETU
ZAIDI ya washiriki 600 kutoka ndani na nje ya nchi wanataraji kushiriki
semina maalumu ya uendeleaji na upangaji wa miji inayo kua.
Semi...
3 hours ago
0 Comments