Mchezaji wa zamani wa Timu ya Small Simba Kocha na Taifa Stars kipa mashuhuri Zanzibar kwa umaarufu Bush akiwanoa Wachezaji Chipukizi Zanzibar kupitia Kituo cha Michezo cha Youth Footbal Development Academy Zanzibar katika viwanja vya maisara Uwanja wa Nyuki, Kituo hicho hutowa mafunzo ya wachezaji wa mpira wa miguu kuazia umri wa miaka 7 hadi 16
WAHITIMU TaSUBa WAHIMIZWA KUILINDA AMANI YA TANZANIA
-
Na MWANDISHI WETU, Bagamoyo
WAHITIMU wa Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSUBa), wamehimizwa
kuilinda amani nchini.
Akizungumza katika Mahafali ya...
2 hours ago
0 Comments