Upanuzi
wa Barabara ya Morogoro kwa njia nane kuanzia Kimara –Kibaha unaendelea kwa
kasi kubwa kama inavyoonekana pichani katika maeneo ya Kimara, Mbezi na Kibamba
hivyo kuanza kupunguza msongamano mkubwa wa magari katika barabara hiyo ya
Morogoro. Picha na Ikulu
EAC : Rais Mhe. Dkt. Samia awasili Mkoani Arusha kwa ajili ya kushiriki
katika Mkutano wa Wakuu wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki
(EAC).
-
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan
akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Mhe. Nurdin Babu pamoja na Mkuu
wa M...
4 minutes ago




0 Comments