6/recent/ticker-posts

Wafanyabiashara ya Samaki Katika Marikiti Kuu ya Samaki Darajani Jijini Zanzibar.

Wafanyabiashara ya Samaki katika Marikiti Kuu Darajani Jijini Zanzibar wakiwa katika harakati za kumpasua Samaki aina ya Papa aliyevuliwa katika bahari ya Mkoa wa Kusini Unguja akiwa na uzito karibu kilo 150.


Post a Comment

0 Comments