6/recent/ticker-posts

Muonekano wa Bustani ya Forodhani Jijini Zanzibar

Muonekano wa bustani ya ufukwe wa bahari Forodhani Jijini Zanzibar hutumika kwa Wananchi na Wageni wakati wa jioni kujipumzisha na Vijana kutumia kwa kupiga kachumbe na kuogelea kama wanavyoonekani pichani katika eneo hilo la bustani hiyo.


Post a Comment

0 Comments