Wasanii kutoka Ghana na UK wa Kikundi cha ONIPA wakitowa burudani katika viwanja vya Bustani ya Forodhani Jijini Zanzibar wakati wa onesho la Tamasha la Sauti za Busara Zanzibar, lililofanyika wiki iliopita Visiwani Zanzibar.
MARUFUKU WATUMISHI WA UMMA KUTUMIA MIFUMO ISIYO RASMI KUWEKA NYARAKA ZA
SERIKALI
-
Na. Vero Ignatus,Arusha.
Serikali imepiga marufuku watumishi wa Uma Kutumia mitandao isiyo rasmi
ambayo ni tofauti na ile iliyounganishwa na mfumo wa Ser...
12 minutes ago
0 Comments