Mwakilishi Mkaazi Wa Shirika La Afya Duniani (Who) Zanzibar Dkt. Andemichael Ghirmay akiukaribisha ujumbewa wa UN kwa Waziri wa Afya Zanzibar walipofika Ofisini kwake pamoja na kutoa maelezo kuhusu juhudi zinazochukuliwa na Serikali katika kuimarisha huduma za Afya Zanzibar.
MISITU NI MAISHA: SERIKALI YAZINDUA JUKWAA LA B2B, YASISITIZA UCHUMI
ENDELEVU LINDI
-
Na Mwandishi Wetu, Lindi
Serikali imezindua rasmi Jukwaa la Majadiliano ya Biashara kwa Biashara
(B2B) likiwa na lengo la kuchochea uwekezaji, kuongeza t...
15 minutes ago
0 Comments