Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Luhaga Mpina akisalimiana na Mwanafunzi
wa Darasa la Tano Shule ya Msingi Holly Cross ya Mjini Morogoro, Brian
Martin Martin leo huku wakichukua tahadhari ya maambukizi ya virusi vya
Corona walipokutana mjini Morogoro kwenye mapumziko ya Jumatatu ya
Pasaka. Picha na Mpiga Picha Wetu
CAMARTEC YABUNI TEKNOLOJIA MPYA KUINUA SEKTA YA KILIMO NA UFUGAJI
-
Kituo cha Zana za Kilimo na Teknolojia Vijijini (CAMARTEC) kimeanzisha
mbinu mpya za mafunzo kwa wakulima kuhusu usindikaji wa mazao, ikiwemo
mwani korosho...
6 hours ago


0 Comments