KUFUATIA Mvua Kuendelea Kunyesha katika maeneo mbali mbali ya Kisiwa Cha Pemba, nao wakulima wa minazi hawako nyuma katika kuimarisha kilimo hicho, pichani baadhi ya wananchi wakichagua minazi bora na mizuri kwenda kupanda ambapo mmoja mche wake unauzwa kati ya shilingi 2000 hadi 2500.(PICHA NA ABDI SULEIMAN.
BILIONI 91 KUSAMBAZA UMEME KWENYE VITONGOJI 570 VYA MKOA WA MOROGORO
-
*📌 Wateja wa awali zaidi ya elfu 20 kuunganishwa na huduma ya umeme katika
Vitongoji vya mkoa huo. *
Morogoro📍
Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Mhe. Adam Mal...
3 minutes ago
0 Comments