BIASHARA ya Samaki katika mwezi mtukufu wa Ramadhani imekuwa ni mashuhuri kwa ajili ya kupata kitoeleo cha Futari, pichani baadhi ya wananchi wa Chake Chake wakinunua samaki kwa mmoja wa wachuuzi.(PICHA NA ABDI SULEIMAN)
TIZESA YAFANYA KONGAMANO LA UWEKEZAJI KAGERA, WAWEKEZAJI KUPATA MADAWATI
NGAZI YA HALMASHAURI
-
NA DIANA DEUS_BUKOBA.
Mamlaka ya Uwekezaji na Maeneo Maalumu ya Kiuchumi Tanzania (TIZESA)
imewaahidi wawekezaji wazawa kuanzisha madawati ya uwekezaji kat...
15 minutes ago
0 Comments