Muonekano wa Mji wa Chakechake Kisiwani Pemba katika harakati za kila siku kwa Wananchi wa Pemba, ukiwa umepambwa na miundombinu ya taa maalum za kuongozea gari kama inavyoonekana pichani.
GEITA DC KINARA NAMBA MOJA MATUMIZI SAHIHI YA MIFUMO YA MAMLAKA YA SERIKALI
MTANDAO (eGA)
-
Mkutano wa 6 wa Serikali Mtandao umemalizika Februari 19, 2026, huku
Halmashauri ya Wilaya ya Geita ikitangazwa kuwa Mshindi Namba Moja kati ya
Halmashauri...
8 hours ago
0 Comments