6/recent/ticker-posts

Kada wa NCCR Mageuzi , Ambar Haji Khamis kuchukua fomu kuwania uraisi kupitia chama chake

Mhe.Ambar Haji Khamis kuchukua fomu ya kuomba ridhaa ya chama chake  ili kugombea nafasi ya Urais wa  Zanzibar . amesema endapo chama kitampa ridhaa ya kuwa mgombea na hatimae kushinda urais ZNZ atahakikisha anarudisha mchakato wa Katiba Mpya.

Post a Comment

0 Comments