Mratibu wa miradi ya kijamii katika chuo cha Barefoot College International Zanzibar, Brenda Geofrey, akiwakabidhi barakoa kwa wananchi wa Kisiwa cha Makoongwe Wilaya ya Mkoani Mkoa wa Kusini Pemba.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
MAMA MARIAM MWINYI ATEMBELEA SHAMBA LA NGANO LA MLEIHA NA KITUO CHA URITHI
WA KIHISTORIA SHARJAH
-
Mke wa Rais wa Zanzibar, Msarifu na Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini wa
Zanzibar Maisha Bora Foundation (ZMBF), Mama Mariam H. Mwinyi, leo tarehe
16 Janua...
1 hour ago
0 Comments