Wachezaji wa Timu ya Zimamoto na Chipukizi wakiwania mpira wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Zanzibar uliofanyika ckatika Uwanja wa Mao Zedong Jijini Zanzibar. katika mchezo huo Timu ya Zimamoto imeshinda bao 2-1.
MRADI MKUBWA WA MAJI URAMBO KUKAMILIKA
-
Chama Cha Mapinduzi kimesema kukamilika kwa mradi wa maji ya Ziwa Victoria
unakwenda kuwa mkombozi kwa wananchi wa Urambo, Sikonge na Kaliua.
Katibu wa ...
14 minutes ago
0 Comments