Wachezaji wa Timu ya Zimanoto na Mwenge wakiwania mpira wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu ya Zanzibar uliofanyika katika Uwanja wa Mao Zedong Timu ya Zimamoto imeshinda mchezo huo bao 4-0.
Rais Dkt. Samia Afuturisha Viongozi pamoja na Makundi mbalimbali,
Chakechake Mkoa wa Kusini Pemba
-
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu
Hassan akijumuika na Wananchi wa Chakechake, Mkoa wa Kusini Pemba kwenye
Futari aliy...
5 hours ago
0 Comments