Kizazaa katika goli la Timu ya Mlandege wakati wa mchezo wao wa Ligi uliofanyika katika Uwanja wa Mao Zedong. Kizaazaa hicho kimeipatia bao Timu la Pili Timu ya Malindi. hadi mwisho wa mchezo huo Timu ya Mlandege imetoka na ushindi wa bao 3-2.
Kamati ya bunge yahimiza kasi maboresho bandari ya Tanga
-
📍Yasifu uwekezaji wa shilingi bilioni 429
NA MASHAKA MHANDO, Tanga
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu imeiashauri Serikali kuongeza kasi
ya utat...
47 minutes ago
0 Comments