Muonekano wa Masjid Tauhid Fuoni baada ya kukamilika ujenzi wake na kufunguliwa jana na Naibu Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh. Mahmoud Mussa Wadi, kwa niaba ya Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi. hafla hiyo imefanyika katika Masijid hiyo huko Fuoni Wilaya ya Magharibi "B" Unguja.
NGORONGORO YATANGAZA VIVUTIO VYA UTALII KWA WASHIRIKI WA ROMBO MARATHON.
-
Na Mwandishi Wetu, Rombo.
Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) imeshiriki katika tamasha la _Rombo
_Marathon_ lililofanyika leo tarehe 23 Desemba 202...
3 hours ago
0 Comments