Wananchi wa Kijiji cha KIDEMENI Shehia ya Kwale Wilaya ya Chake chake wamepaza sauti zao kuiomba serikali kuwasaidia kuimarisha upatikanaji wa huduma muhimu katika kijiji chao ili waweze kuondokana na adhabu wanazozipata na kuwaathiri wanawake na watoto ,ambapo wamesema kwa muda mrefu sasa upatikanaji wa huduma hizo muhimu umekuwa ni wakusua sua jambo ambalo linaendelea kuwarudisha nyuma kimaendeleo huku wakijihisi kutengwa katika kuyafikia maendeleo,huduma hizo ni pamoja na huduma mbovu za mawasiliano, Ubovu wa njia , ukosefu wa maji ya #ZAWA wanafunzi kusoma katika nyumba ya mzazi aliejitolea kusomesha kupitia ukumbi wake
NEMC YAKIFUNGA KIWANDA CHA HOOTA KWA KUTOKUZINGATIA TARATIBU ZA KIMAZINGIRA
-
Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira NEMC Leo Februari 9,
2026 limekifunga kiwanda cha urejelezaji wa taka za plastiki cha HOOTA
kilichopo ...
1 hour ago




0 Comments