6/recent/ticker-posts

Nandy na Profesa Gogo Wapamba Ufunguzi wa Mkutano wa Kampeni Uwanja wa Gombani ya Kale Chakechake Pemba leo 16-9-20210.

Msanii wa Bongio Flava Nandy akitowa burudani wakati wa hafla ya Ufunguzi wa Mkutano wa Kampeni ya CCM Pemba uliofanyika katika Uwanja wa Gombani ya Kale Chakechake   
Profesa Gogo  akitowa burudani katrika hafla ya Ufunguzi wa mkutano wa kampeni wa CCM uliofanyika katika Uwanja wa Gombani ya Kale Chakechake Pemba.

Post a Comment

0 Comments