JAJI Mkuu wa Zanzibar Mhe. Omat Othman Makungu akiongoza Maandamano ya Majaji wa Mahakama Kuu ya Zanzibar wakielekea katika Jukwaa lililoandaliwa kwa ajili ya kumuapisha Rais Mteule wa Zanzibar, Mhe Dk. Hussein Ali Mwinyi, hafla hiyo imefanyika katika Uwanja wa Amaan Jijini Zanzibar juzi 2/11/2020.
WAANDISHI WA HABARI ARUSHA WAPATIWA MAFUNZO YA KILIMO IKOLOJIA NA ECHO EAST
AFRICA.
-
Shirika lisilo la kiserikali la Kikristo ECHO East Africa kutoka Ngaramtoni
jijini Arusha limefanya warsha ya mafunzo kwa vitendo kwa waandishi wa
habari k...
1 hour ago
0 Comments