6/recent/ticker-posts

Dkt Bashiru afungua kikao cha siku mbili cha Sekretarieti ya halmshauri kuu ya CCM na kamati za utekelezaji Dodoma leo

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Dkt. Bashiru Ally akifungua Kikao cha siku mbili cha Sekretarieti ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM na Kamati za Utekelezaji za Jumuiya za Chama - UVCCM, UWT NA WAZAZI ukumbi wa White House jijini Dodoma leo
Kikao cha Sekretarieti ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM na Kamati za Utekelezaji za Jumuiya za Chama - UVCCM, UWT NA WAZAZI ukumbi wa White House jijini Dodoma leo

 

Post a Comment

0 Comments