Jengo jipya la Ofisi ya ZSSF Pemba ambalo liliwekewa jiwe la msingi tarehe 5/8/2020 na Rais Mstaafu Dr. Ali Mohamed Shein kwa tayari sasa limekamilika. Hivi sasa lipo katika hatua za mwisho za kukamilisha mradi na linatarajiwa kufunguliwa na kuhamiwa hivi karibuni. Jengo hili limejengwa na kampuni ya kizalendo kabisa
ADEM YAKUTANA NA WADAU WA KIMATAIFA KUIMARISHA UONGOZI WA SHULE ZA SEKONDARI
-
Wakala wa Maendeleo ya Uongozi wa Elimu (ADEM) leo imepokea ujumbe wa wadau
wa maendeleo kutoka taasisi mbalimbali ikiwemo Mastercard Foundation,
Education...
3 hours ago



0 Comments