Waziri wa nchi, Afisi Ya Rais, Tawala za Mikoa na Idara Maalum za Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Mhe Masoud Ali Mohammed amewasimamisha kazi Mkurugenzi wa Manispaa ya Mjini, Bw Said Ahmada Juma na Mkurugenzi wa Manispaa magharibi "A" Nd. Amour Ali Mussa na kuagiza kuanza kwa taratibu za uchunguzi juu ya tuhuma mbalimbali ikiwemo ubadhirifu wa fedha za mali ya Umma.
BoT YAFAFANUA SABABU ZA KUNUNUA NA KUUZA DHAHABU
-
Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT) amesema kuwa hatua ya benki hiyo
kununua na wakati mwingine kuuza dhahabu ni utekelezaji wa matakwa ya
sheria pamoja...
32 minutes ago

0 Comments