MKURUGENZI wa Baraza la Mji Chake Chake Salma Abuu
Hamad, akimkabidhi biskuti mmoja ya watoto waliolazwa katika Hospitali ya
Vitongoji, biskuti hizo zilizotolewa na UVCCM wilaya ya Chake Chake(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
Meya Ahimiza Usafi Jijini Arusha
-
Na Pamela Mollel,Arusha
Meya wa Jiji la Arusha, Maximilian Iranghe, ametoa wito wa kuimarisha
ushirikiano kati ya Halmashauri na mawakala wa ukusanyaji wa ...
10 hours ago
0 Comments