Spika Wa Baraza La Wawakilishi Mhe Zubeir Ali Maulid akitia
saini kitabu cha maombolezo kufuatia kifo cha aliekuwa Makamo Wa Kwanza Wa Rais
Wa Zanzibar Mhe Maalim Seif Sharif Hamad kilichotokea tarehe 17 Febuari 2021
Rais Dkt. Samia Afuturisha Viongozi pamoja na Makundi mbalimbali,
Chakechake Mkoa wa Kusini Pemba
-
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu
Hassan akijumuika na Wananchi wa Chakechake, Mkoa wa Kusini Pemba kwenye
Futari aliy...
3 hours ago
0 Comments